Friday, September 26, 2008

Jamaa Anazidi Kuvuta Watu


Imefikia patamu. Masikio ya kila myu ni hatma ya huyu Mjamaa. Swali analojiuliza kila mmoja ni Je, atapatikana na hatia ya mauaji au. Msimamo wangu uko wazi siku zote, sitautoa hapa leo, kwani nitaambiwa 'nimeiingilia' mahakama.

No comments:

Post a Comment