Wednesday, June 04, 2008

SHUKRANI


Familia ya Bwana na Bibi Reginald Miruko inayo furaha kukushukuru msomaji wa blog hii kwa kufanikisha harusi yao na kumaliza fungate salama. Pia tunakuomba radhi kwa kutokuwekea mambo mapya kwa muda mrefu, lakini tunaahidi kuwa kazi ya kuendeleza blog hii imeanza tena baada ya majukumu ya kuandaa harusi kumalizika. Asante Sana kwa Kutuvumilia. Ukitaka kuona picha zaidi fungua albam hapo kulia.

No comments:

Post a Comment