Thursday, March 13, 2008

Mwananchi Queen


Hiki ndio Kikosi Kamili cha makwini wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, inayochapisha magazeti ya Mwananchi, mwanaspoti, Mwananchi Jumapili, The Citizen na Sunday Citizen. Kikosi hiki kikiongozwa na mama lao, Maimuna Kubegeya (Mbele Kushoto) kimefanikiwa kwa mbinde kuingia fainali ya Mashindano ya NSSF

2 comments:

Anonymous said...

Hakika nimevutiwa sana na huyo binnti aliyechuchumaa wa pili toka kushoto. Naomba contact zake!

Plotter said...

Hello. This post is likeable, and your blog is very interesting, congratulations :-). I will add in my blogroll =). If possible gives a last there on my blog, it is about the Plotter, I hope you enjoy. The address is http://plotter-brasil.blogspot.com. A hug.

Post a Comment