Tuesday, March 04, 2008

Kila mtu na 'Ushujaa' Wake

Waziri Mkuu, Mizengi Kayanza Peter Pinda akikabidhiwa upinde na mishale ili akapambane.

Waziri Mkuu aliyestaafishwa, Edward Ngoyai Lowassa akionyesha ngao yake ya kujikinga dhidi ya mishale

3 comments:

Anonymous said...

Na aje apambane kweli sio kutuletea story! Tanzania hatuna vita lakini nchi haisongi mbele, kwa nini??????

Anonymous said...

Wewe Miruko sasa tunaanza kukuchoka mara ujitie umejitoa katika blog mara unarudi? Sasa sijui kwa nini unapenda kutuyeyusha? KAMA HUWEZI TIMUA KABISA NIPE PASSWORD NIIDELETE!

SIMON KITURURU said...

Kazi Ipo!

Post a Comment