Thursday, February 07, 2008

Amri 10 za Tanzania

Hizi ndizo amri kumi za Tanzania, kama unataka kuinusuru Tanzania isiuzwe inakubidi izufuate:-
1. Usiwe mlaghai kama Karamagi

2. Usiwe fisadi kama Balali

3. Usiwe mbishi kama Zitto

4. Usiwe makelele kama Makamba

5. Usiwe mbabe kama Sitta

6. Usihukumu kama Mudhihiri

7. Usiuwe kama Ditopile

8. Usidandie hoja kama Mrema

9. Onea huruma nchi kama Dk Slaa

10. Usiwe na tamaa kama Lowassa

NB: Hii ni nchi maskini yatupasa kubana matumizi kwa hiyo pia usipende kustanua kama JK

1 comment:

Anonymous said...

Mbishi kama Zitto una maana gani? Naomba ufafanue.

Post a Comment