Saturday, January 19, 2008

Uwanja wa Fisi

imepata kipande hiki cha ardhi ya Manzese na jinsi kinavyoonyesha namna majumbe yalivyoshonana. Mliombali na Dar bila shaka mnayakumbuka maeneo haya, likiwemo eneo maarufu la Uwanja wa Fisi

1 comment:

Ansbert Ngurumo said...

Nimekutembelea, nimekuta 'umefufuka' kinamna. Unatisha ndugu. Hongera!

Post a Comment