Friday, December 28, 2007

UCHAGUZI KENYA:Upendeleo Katika Picha


Tazama picha hii ya Televisheni ya Kenya (KTN). inaonyesha wazi kuwa Rais wa sasa, KIbaki(kulia) ndiye anastahili kuonekana mkubwa. Anafuatiwa na Raila Odinga wa ODM na Kalonzo Musyoka wa ODM-K

No comments:

Post a Comment