Saturday, December 29, 2007

UCHAGUZI KENYA: Mageuzi ya Ghafla

Hadi sasa taarifa za uchaguzi wa Kenya zinazidi kubadilika. Usishangae unaposikia kuwa hadi asubuhi hii, tofauti kati kura za Mwai Kibaki na Raila Odinga imebaki 148,579.

Odinga 3,496, 691
Kibaki 3,348,112
Musyoka 568,739

No comments:

Post a Comment