"Those who are too smart to engage in politics are punished by being governed by those who are dumber."-Plato
Monday, December 03, 2007
Tumepima, tukachukua majibu, wewe je?
Mwondoko wa Rais JK na Mkewe, Salma, wakati wa wakielekea kuhutubia Tabora na Mwanza wakati wa shere za ukimwi Duniani. Wao wamepima na kuchukua majibu yao. Kazi kwako.
1 comment:
mzee wa pamba tunamuona. Anatisha
Post a Comment