Monday, December 03, 2007

Hatimaye Didas Kapelekwa India


Yule Muathirika wa Upasuaji wa makosa, aliyepasuliwa kichwa badala ya mguu, Emmanuel Didas amepelekwa India. Hapa yuko Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere tayari kwa safari ya India ambapo atachunguzwa na huenda akapasuliwa tena kichwa ili kurekebisha tatizo lililosababisha apooze upande wa kulia. Pia anaweza kupasuliwa mguu uliokuwa umevimba kutokana na ajali ya Pikipiki.

No comments:

Post a Comment