Kumekucha. Yule Mgombe Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2005, Freeman Mbowe, aliyeitesa sana serikali na kuambulia kura zaidi ya 600,000, ameamua sasa kuingia rasmi darasani, kusoma shahada ya kwanza na ya pili kwa mkupuo. Anasema elimu hiyo ndiyo itakayomkomboa na kumpa mwanga wa kutambua masuala mbalimbali ya kimataifa. kwa maana hiyo endapo atawania tena Urais mwaka 2010 atakuwa na nondo za kutosha.
Endelea
9 comments:
kaka nana kimya kingi...UPO???
Uamuzi aliofanya Mbowe ni mgumu,, lakini wa maana sana. Mrema aliambiwa akajinoe; akagoma, eti 'nikiondoka nani ataongoza chama?' Hatimaye, miaka tisa baadaye, ameishia kununua cheti akaiita digrii, akajivalisha na kupiga picha. hakunoa kichwa, na siasa zake zimeendelea kudorora.
Wanaomjua Mbowe, wanajua kwamba kama angetaka kununua hata PhD, angeweza. Kwamba ameamua kurejea darasani, ni ishara nyingine ya ukoamvu na umakini. Huku ndiko kunaitwa kunoa kichwa. Nina imani anajua anachosomea. Na kama aliweza kuwavuruga CCM (ingawaje walimwadhibukwa kutumia mfumo wao wa uchaguzi) mwaka 2005, itakuwaje kama ataamua kurejea jukwaani akiwa mbichimbichi? Apongezwe!
Heri ya mwaka mpya.
Miruko. Bado uko mitini. Shuka chini ardhini tunakuhitaji.
Hi umekuwaje Simon? Kuingia mjini kumekuganye uache kublogu? Mbona ulikuwa untusakama sisi, ulipokuwa 'kjijini' Dodoma, wakatihuo ukiwa very active? Amka bwana!
http://prieslar.info/?search=Krainy+geograficzne++Polsce
http://prieslar.info/?search=drzyzga
http://prieslar.info/?search=leki+na+przeziebienie+i+grype
http://prieslar.info/?search=krawat
http://prieslar.info/?search=Zimbabwe
http://prieslar.info/?search=modern
http://prieslar.info/?search=lowcy
http://prieslar.info/?search=serwer+cs+nosteam
http://prieslar.info/?search=altany
http://prieslar.info/?search=aukcje+internetowe+a
http://prieslar.info/?search=dhl
http://prieslar.info/?search=samp+cheaty
http://prieslar.info/?search=Karolina+Kozka
http://prieslar.info/?search=Lot+001
http://prieslar.info/?search=avon
http://prieslar.info/?search=popisy
http://prieslar.info/?search=ewa+sonnet+w+ckm
http://prieslar.info/?search=Pomnik
http://prieslar.info/?search=fortuny
http://prieslar.info/?search=bender
http://prieslar.info/?search=Centra+obrobcze
http://prieslar.info/?search=szablon+na+bloga+w+onecie
http://prieslar.info/?search=Jaroslaw+Bialek
http://prieslar.info/?search=program+tv+3.2+8
Post a Comment