Monday, April 03, 2006

Mpoki 'Mzee wa Sumo' Ndani ya Nyumba

Blogu sasa imeingiliwa. Mzee wa Sumo, Mpoki Bukuku, amewasili rasmi. Mtembelee Hapa.Karibu Mzee wa Sumo

2 comments:

Anonymous said...

NAONA MIRUKO NA WEWE UMEPATA DAWA TOKA KWA VIJIMAMBOZ. E KAMUGISHA.

Boniphace Makene said...

Miruko safi sana, safi sana hii inatia moyo

Post a Comment