Sunday, March 26, 2006

Mkapa Asutwa na Kivuli Chake

SIKU 100 tangu Benjamin Mkapa aachie madaraka ya Urais wa Tanzania na kumkabidhi Jakaya Kikwete (JK) zinatimia Alhamis wiki hii. Wakati dunia inajadili utendaji wa JK unaodaiwa kuwa wa kasi mpya, ni vizuri pia kuchambua na kupima utendaji wa kiongozi aliyemtangulia, Mr. Ben. Haya ndiyo maoni yangu .

2 comments:

mwandani said...

Mjomba maoni yako nimesoma. Kweli haya mambo. Transparency International wametoa taarifa ya IPTL mbaya sana. Bado nashindwa kuelewa kwa nini serikali ya awamu ya tatu ilijihusisha nao. Au walidhani watu hawatajua asili ya shirika hilo. Na mapesa yatakavyopotea.

Anonymous said...

Nimefurahi kusoma uchambuzi wako kuhusu Mkapa. Nadhani ungechambua kwa undani zaidi kuhusu Kikwete...ukipata wasaa. Napenda kujua wewe uliyeko hapo nchini unavyoona mambo toka alivyoanza hadi sasa. Nadhani suala la Dodoma ni hadithi ya manyani, sio?

Post a Comment