Friday, March 24, 2006

Mzee ulifikiaje hiyo miaka 100?


"Enzi zetu sisi hakukuwa na ukimwi wala vyakula vya viwandani." ndivyo wanavyoelekea kubadilishana mawazo kati ya Mzee Omari Selemani mwenye umri wa miaka 100 na miezi mitatu, mkazi wa Barabara ya Nane mjini Dodoma na Rais Jakaya Kikwete (55).

No comments:

Post a Comment