Saturday, March 04, 2006

Mahita Aenda Kulima Morogoro"Mzee hapo nilipazoea sana. Karibu Sana". Ndivyo anavyoelekeza kusema IGP wa zamani wa Tanzania, Omari Iddi Mahita (kulia) wakati akimkaribisha ofisini IGP mpya, Said Mwema (picha ndogo). mengine utajaza mwenyewe
1 comment:

Boniphace Makene said...

Haya Miruko sasa tutafutie nyuzi za mashamba ya Mahita ambayo yapo karibu kila mikoa. Kuna tetesi kuhusu ma RPC kuhusika na kumpa Mahita takrima kila alipokuwa akiwateua na moja ya hizo ni mashamba na nyumba katika mikoa waliyokuwa wakiongoza.

Post a Comment