Thursday, February 16, 2006

Ngurumo Karejea

Kwa muda mrefu Ansibert Ngurumo, mwana blogu niliyemwambukiza 'ugonjwa' wa kublog alipotea hewani, lakini sasa naona ametokea tena kwenye blogu, sijui kama ataendelea kuwepo au atapotea tena, unaweza kumfuatilia.

1 comment:

Boniphace Makene said...

Miruko tunashukuru mimi nilikuwa namcheki cheki hivi naona kweli amerudi. Mwambie ageuze aruhusu maoni kwenye Gazeti Tando lake.

Post a Comment