Saturday, December 24, 2005

Nimerejea Jamani!

Natanguliza shukurani nas ombi zito la msamaha. Sikuonekana kwenye blogu kwa muda mrefu, bila taarifa. samahani sana. lakini nakushukuruni nyote kwa kuendelea, bila kukata tamaa, kuchungulia kwenye blogu hii ya mavituvitu ili kubaini kama nipo au sipo. Sababu iliyonipoteza, nilikuwa katika maeneo ambayo upatikanaji wa internet ni 'Mashokolo Mageni'. sasa nimejaa tele kaa pishi la mchele. Karibuni sana...RSM

No comments:

Post a Comment