Wednesday, August 31, 2005

Uchaguzi huoooo! Wavijua vyama vyote?

Kampeni za Uchaguzi wa Oktoba 30 zinazidi kupamba moto. Vimo vyama 18 katika kinyang'anyiro hicho, kati yake vyama 10 tu vimesimamisha wagombea Urais. Ukiondoa vyama vichache vinavyotambulika, Watanzania wengi wanavisikia tu. Hawavijui. TAZAMA hapa uvifahamu.

No comments:

Post a Comment