Thursday, August 04, 2005

ANAPOTAFUTWA MISS AFGHANSTAN!

Mashindano ya Urembo hivi sasa yamepamba moto katika kila kona, ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya Taifa. Baadaye tutapata Mrembo wa Tanzania atakaye wakilisha Tanzania katika mashindano ya dunia, ambayo Tanzania haijawahi hata kuyanusa. Fikiria hali ingekuwaje wakati Mrembo wa Afghanstan anatafutwa mbele ya masheikh hawa? Watakubali?

3 comments:

Martha Mtangoo said...

haki ya Mungu ni kaazi kwelikweli, inaleta Sense lakini kwa upande wangu inapendeza sana.

Ndesanjo Macha said...

Reginald, leo nilikuwa sijacheka hata kidogo. Lakini umenifungua milango ya kicheko. Ninacheka kama mawimbi ya bahari ya Mashariki ya Afrika (sio ya hindi). Hiyo picha ya jamaa waliovaa kitalibani...

mwandani said...

We unatoa wapi mambo haya!

Post a Comment