Friday, July 01, 2005

Wakenya wa Mwananchi Watinga Bunge la Kenya

Suala la Wakenya wa Mwananchi, waliotimuliwa nchini Tanzania na kuzuiliwa moja kwa moja kurejea nchini limechukua sura mpya baada ya kuzungumzwa katika Bunge la Kenya. Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Moses Wetang'ula alisema tatizo limetokana na uhasama wa kibiashara.

1 comment:

Indya Nkya said...

Hebu Jaribu kutupa kisa kamili kuhusu hawa watu ili kuondoa hisia mbaya. Mara biashara, mara sijuhi vitu gani. Nina imani ukiamua kulivalia njuga utatusaidia kupata picha kamili ya tatizo hili.

Post a Comment