Tuesday, July 05, 2005

Hebu wacheki hawa ngunguri wakisubiri kazi!

Njoo muone kazi! Yaelekea ndivyo wasemavyo askari hawa wakiwasubiri waandamanaji huko Scotland waliokuwa wanapinga mkutano wa wakuu wa mataifa nane tajiri. Waone walivyopendeza.FFU

1 comment:

Egidio Ndabagoye said...

Hao jamaa wananikumbusha mengi sana hasa Afande Tossi.

Post a Comment