Saturday, July 30, 2005

MKAPA AAGA BUNGE, AJIVUNIA MAFANIKIO

*LAKINI WABUNGE WASIKITIKIA MAJIMBO YAO
* WENGI WANA HOFU YA KUPOTEZA


Na Reginald Simon, Dodoma

Jana Rais Benjamin Mkapa alihutubia Bunge la Tanzania, ikiwa ni hotuba yake ya mwisho kabla ya Bunge hilo kuvunjwa Agosti 5, mwaka huu na baadaye yeye kuachia ngazi.
HOTUBA HII ya Rais Mkapa, kinyume na nyingine alizozoea, ilijaa upore na mlolongo wa mafanikio ya serikali yake kwa miaka 10 iliyopita. Kwa kawaida Mkapa uhutubia kwa kufoka na kukemea, lakini hii ilitajwa na WATU HAWA MAARUFU kuwa ni maelekezo kwa serikali inayofuata ya Awamu ya Nne.

No comments:

Post a Comment