Monday, July 25, 2005

Kwa Hili M7 Apongezwe

Rais Yoweri Museven wa Uganda amekuwa akilaumiwa kwa mambo mengi, hasa hatua yake ya kutaka kuongezewa muda wa uongozi, kwa kile kinachoonekana kuwa anataka kuwa Rais wa maisha. Lakini kwa hili la sasa, la kukataa Ada Kupanda katika Chuo Kikuu cha Makerere anastahili pongeza

1 comment:

Indya Nkya said...

Tutampongeza baada ya kugundua kwamba hii siyo sehemu ya kampeni ya urais wa maisha. Baada ya kukaa madarakani kwa muda wa mwaka mmoja (baada ya uchaguzi wa 2006) tutaona kama ataendelea na msimamo huo basi tutampongeza

Post a Comment