Tuesday, July 05, 2005

M7 anataka awe Rais wa maisha!

Rais Yoweri Museven wa Uganda, ametajwa kuwa anataka kuwa mgombea Urais wa nchi hiyo kwa kipindi kingine cha tatu. gazeti moja hapa lilisema kuwa anataka kuwa Rais wa maisha, Mbunge mmoja wa Tanzania alisema ni mbinu yake ya kutaka kuwa Rais wa Shirikisho la Afrika Mashariki hapo mwaka 2010. Museveni mwenyewe anasemaje? Soma hapa

1 comment:

Indya Nkya said...

Kiungo hakishikiki inaelekea hukuweka link

Post a Comment