Tuesday, July 05, 2005

Mkapa aenda kuhudhuria Mkutano unaopingwa

Rais Benjamin Mkapa wa Tanzania atakuwa miongoni wa wageni watakaohudhuria Mkutano wa Mataifa 8 Tajiri Duniani. Hata hivvyo mkutano huo unapingwa na mamilioni ya watu duniani kutokana na sera za mataifa hayo. Waandishi wa habari wameandika masuala kadhaa juu ya mkutano huo. Kama picha/katuni hii inavyoonyeshaMarais wa nchi 8 tajiri katika katuni

No comments:

Post a Comment