Saturday, May 28, 2005

Ukurasa wa Maarifa

Nimeanzisha Ukurasa wa maarifa katika blogu yangu. Kuanzia leo nitakuwa ninakuletea mambo mbalimbali yanayohitajika katika dunia ya leo. Kwa kuanzia leo, soma jinsi ya kutumia Mtandao wa Kompyuta

1 comment:

Rama Msangi said...

Hongera sana kaka kwa ukurasa huu ila naomba nikushauri kitu kimoja, kwakuwa sehemu hii utakuwa ukiweka kazi mbalimbali mara kwa mara( na hakika hili ni muhimu), basi ningekushauri uanzishe kona maalum ambayo utakuwa ukiingiza viungo mbalimbali vyenye lengo la watu kujifunza, kama ambavyo umeweka kona ya magazeti nk. Lidumu darasa hili

Post a Comment