Monday, May 30, 2005

Eti Digree kwa Miezi 13!

Haya ni ya Musa. Usishangae kwani bado ya Filauni. Tangu enzi na enzi sisi 'wenye moyo' tulioamua kubaki kujenga Tanzania, tuliamini kuwa kusoma digrii lazima utumie muda mrefu. Miaka mitahadi mitano. Hata majuzi tu, Chuo Kikuu cha Dar, kiliongeza muda wa kusoma Sheria kutoka miaka mitatu hadi minne. lakini hali tofauti maeneo mengine, muda unapungua siku hadi siku. Zipo hata digrii za miezi 13. Soma kwenye ukurasa wangu wa maarifa.

1 comment:

Anonymous said...

DOGO na wewe ume aply huko nini? maana maMbo yako na wewe yanatisha sana!

Post a Comment