Sunday, May 01, 2005

Samahani Mgombea Nilishiriki Kukuchafua

KUTUBU ni jambo la mbolea. Kama umekosea lazima utubu na kuomba msamaha. Mimi, nilishiriki kikamilifu kumchafua mgombea wa kiti cha Urais, Nilimpaka matope, nilimdhalilisha sana. lakini Mwisho wa yote umeshafika, lazima mmoja apite. Akipita naahidi kushirikiana naye, maana atakuwa na nguvu nyingi kama kifaru, anaweza kunimaliza. Soma taarifa hii ya msamaha

1 comment:

Anonymous said...

Unachafua halafu unashiriki kuomba msamaha? Utamaduni ule ule, wa enzi zile zile, badala ya kwenda dukani kumnunulia sabuni na mafuta aoge kisha ajipake, na ikiwezekana hata nguo mpya, unamwomba msamaha. Pole, inapomtoa mgonjwa hospitali

Post a Comment