Tuesday, May 03, 2005

Wamebaki Watatu, wawili 'kuchinjwa' leo

Kwa ufupi ni kwamba, kile kinyang'anyiro cha urais katika Chama Tawala hapa Dodoma, Tanzania kimefikia joto la juu kabisa. Vigogo watano wamefanikia kupenya kwa taabu katika chekeche la Kamati Kuu ya chama. Ni kina nani hao? Soma hapa. Leo, Halmashauri Kuu ya CCM inaendelea na kikao chake ili uchambua majina hayo na kubakiza matatu. Ni Yapi? Na mengine zaidi juu ya uchaguzi soma hapa.

No comments:

Post a Comment