Tuesday, May 31, 2005

Umepima wewe? Yawezekana una Kisukari

Waafrika wengi, na hasa ndugu zangu wabongo hatuna kawaida ya kupima afya zetu. Lakini ukweli ni kwamba wengi tuna matatizo ya akiafya. Nimekuwekea makala hii kuhusu ugonjwa wa kisukari, jiangalie kama uko salama au la.

2 comments:

ARUPA said...

Ninavyo kuona mheshimiwa makala hii imetulia sana tena kama huu ndio ungekuwa msimamo wako sisi wenye magonjwa kama haya tusingepata shida ya kumuona daktari, keep it up my brother, tutafanikiwa tu katika ulimwengu huu wa blogu

Reggy's said...
This comment has been removed by a blog administrator.

Post a Comment