Sunday, May 08, 2005

CCM Waanza Kampeni; Wapinzani Walala Usingizi

MUDA Rasmi wa vyama vya Siasa kuanza kampeni za uchaguzi Mkuu wa Oktoba 30 bado haujafika,lakini Chama Tawala chenye mabavu, CCM, kimeanza kampeni kinyemela, huku wenzao wa upinzani wakiwa usingizini. Soma hapa uonemambo yanavyokwenda. Lakini mambo yote yako mikononi mwa Mwenyekiti wa CCM, Amiri Jeshi Mkuu, Rais Benjamin Mkapa. Soma Mkapa anavyoongoza kampeni hizo.

1 comment:

Indya Nkya said...

Wanangaikia nini wakati wanasema mtu wao anauzika? au ndiyo kutafuta ushindi wa TSUNAMI kama wanavyoita wenyewe?

Post a Comment