Saturday, May 07, 2005

Huyu Ni Kikwete Halisi

BAADA ya juzi Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitisha jina la Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Mgombea wake wa Urais wa Jamhuri ya Muungano, Watanzania wengi, wakiwemo viongozi wengi wamemfagilia. (Soma aliyosema Mkapa) na wale wananchi wa kawaida, walioko ndani na nje ya nchi wameanza kumjadili na kumwelezea kwa namna mbalimbali. Soma Tamko la Albert Tibaijuka, Mtanzania huyu, aliyepo Uingereza. Nanyi wengine leteni michango yenu! Tutaichapisha bila woga wala upendeleo

No comments:

Post a Comment