Sunday, April 17, 2005

Wapinzania Wanatoka Kapa

Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu umo ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Baada ya CCM kupata mgombea wake hapo Mei 4 mwaka huu, ndo tayari rais atakuwa amepatikana. Wapinzania, hata mwaka huu hawana lao, na wenyewe wanajua hivyo. Siandiki hivi kwa ushabiki, nina sababu nyingi, Yawezekana huzipendi, lakini usisite kuzisoma hapa

No comments:

Post a Comment