Saturday, April 16, 2005

Hata Vichaa Ruksa Kuwania Urais?

Mbio za Urais Mwaka huu nchini Tanzania ni kali kweli kweli. Wanaowania hadi sasa, waliochukua na kurudisha fomu za kuomba uteuzi wamefikia 11. Wa mwisho kuchukua na wa mwisho kurudisha pia ni John Magale Shibuda. Wengi wanamuona kama anayefanya mzaha, asiyekuwa na nia ya urais. wapo pia wengine wanaoonekana kama yeye, akina Patrick Chokala 'chox', Ali Karume, Dk. William Shija na Iddi Simba. lakini huyu Shibuda ni nani? Pata habari zake

No comments:

Post a Comment