Friday, April 22, 2005

Makardinali CCM Waenda Vatican Kumchagua Papa

Haijawahi kutoka kwa miaka 10 sasa. Haijapata! Joto linazidi kupanda ‘Vatican’, sorry, Dodoma. Si joto la hali ya hewa, la hasha! Ni joto la Uchaguzi wa mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Unaweza kuufananaisha uchaguzi huu na ule wa Papa, uliomalizika majuzi kule Roma, Italia.
Hata hapa ‘makardinali’ sorry, wajumbe wa CCM wameanza kukusanyika na maandalizi makubwa yamefanyika, ikiwemo ukarabati wa ofisi za ‘Vatican’, Ohoops! Makao Makuu ya CCM. Soma taarifa kamili

No comments:

Post a Comment