Wednesday, April 27, 2005

Muungano wa Kuchechemea Watimiza Miaka 41

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa Aprili 26, 1964 umetimiza miaka 41. Kama ungekuwa ni Mtanzania mwenye akili timamu, basi ungeweza kuwania Urais wa Tanzania maan ni mtu mzima. Ni Muungano uliopita kwenye milima na mabonde, ingawa baadhi ya wananchi wanaushangilia sana kama ilivyotokea juzi katika Viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma. Lakini hilo haliwezi kuondoa KERO ZAKE kama zinavyopatikana kwenye ripoti hii.

No comments:

Post a Comment