Wednesday, April 27, 2005

Maandalizi ya Conclave yakamilika Dodoma

MOTO Moto Moto! Kesho moto unaanza kuwaka katika Makao Makuu ya CCM Dodoma. Vikao maalum vya kupitia, kuchekesha na kutoa jina 'safi' la mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Zanzibar vinaanza rasmi.
Mchakato HUU mzima unahusisha vikao kadhaa, cha kwanza ni Sekretarieti ya Halmashgauri Kuu ya Taifa, inafuata Kamati Kuu, Halmashauri Kuu na Baadaye Mkutano Mkuu utakaoketi Mei 4, mwaka huu, pale wagombea halali watakapopatikana. Soma ripoti kamili, kama ilivyoripotiwa na gazeti la Mwananchi.

No comments:

Post a Comment