Friday, March 11, 2005

Hata Wenye Nguvu Wana Hofu! Tutafika?

Februari 19, 2005, Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Benjamin Mkapa alihutubia Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC). Hotuba hiyo ililenga kuwaonya wagombea na kuonyesha hofu ya chama katika uchaguzi wa Oktoba 30, 2005. ISOME

No comments:

Post a Comment