Tuesday, March 05, 2013

Matokeo Kenya haya hapa

Lakini matokeo hayo yanalalamikiwa na Odinga amebainisha kasoro kadhaa ambazo ameziwasilisha mahakamani katika Kesi Hii. Hata hivyo, Uhuru kwa upande wake anadai malalamiko hayo ni ya kubumba, na ushindi wake ni mweupe kama anavyosema katika Hati ya Kiapo kortini.

No comments:

Post a Comment