Wednesday, January 23, 2013

Gesi Mtwara na ukame wa akili

Gesi ikipatikana Mtwara, isombwe hadi Dar es Salaam ili izalishwe nishati ya umeme. Ikipatikana Tanga, ipelekwe Dar es Salaam. Ikipatikana Kigoma sharti pia ipelekwe Dar es Salaam. Huu ni ukame wa akili. Lakini ukame huu siyo wa leo. Kuna wakati watawala na watendaji wao nchini waliwahi kuishiwa akili kama ilivyo sasa. Ni nyakati zile nilipoandika kitabu kiitwacho “Duka la Kaya” – unyafuzi wa akili usiomithilika! Endele kumsona Ndimara Tegambwage

No comments:

Post a Comment