Thursday, November 08, 2012

Askofu Balina msalimie Rugambwa


Sina shaka kwamba Askofu Aloysius Balina wa Jimbo Katoliki la Shinyanga aliyeaga dunia juzi, ameshakutana na Mwadhama Laurean Kardinali Rugambwa huko mbinguni, kama picha pii aliyopigwa wakati wa uhai wao inavyoashiria. Ulale pema Baba Balina. Utakumbukwa kwa kupenda elimu, ushahidi ni wanafunzi 'kibao' uliowasomesha Chuo Kikuu Saut.

No comments:

Post a Comment