Tuesday, October 09, 2012

MAZISHI YA RUGAMBWA YAFUNIKA BUKOBA

Muumini akitoa sadaka kumwombea marehemu Kardinali Rugambwa aliyezikwa rasmi Oktoba 6, 2012

Kikundi cha ngoma kutoka burundi kilikuwapo kuwaburudisha waombolezaji mjini Bukoba

Bendi ya siku nyingi ya Seminari ya Rubya nayo haikuwa nyuma

Waumini wa kawaida au walei walikuwa na nyuso za maombolezo

Jeneza la Rugambwa lafukizwa ubani na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Yuda Thedaus Rwa'ichi

Mwili watolewa katika Kanisa la Kashozi ulimolazwa kwa mkaka 15 kwa muda.

Wapakizwa kwenye gari maalumu la kubeba maini ambalo kwa Bukoba halikuwa kuonekana.

Msafara wa magari waanza ulitembea kilometa 20 kwa mwenzo wa km20 kwa saa kutoka Kashozi hazi Kanisa Kuu la Bukoba ulipozikwa.

Umma wapokea maandamano mjini Bukoba kwa bashasha.

Umati zaidi, wataka kusukuma gari lenye masalia ya Rugambwa, Polisi wafanya kazi ya ziada. Vyombo vya habari haviko nyuma.

Jeneza labebwa kuelekea Kanisa Kuu la Bukoba.


Kanisa lenyewe lililokuwa linafanyiwa ukarabati kwa miaka 17, na waombolezaji kibao nje yake

Lawekwa tayari kanisani kwa maombi

Kardinali Laurean Rugambwa azikwa rasmi Oktoba 06, 2012

No comments:

Post a Comment