Thursday, October 04, 2012

Cardinal Rugambwa special coverage: History&Reburial pictorial

HILI NDILO KABURI LAKE JIPYA KATIKA KANISA KUU LA BUKOBA

HILI NDILO KANISA KUU LA BUKOBA, LILIMO KABURI

KABURI LAKE LA ZAMANI KATIKA KANISA LA KASHOZI

KASHOZI, KANISA LA KWANZA LA KATOLIKI MKOANI KAGERA, NDILO LILIKUWA KABURI LA MUDA LA RUGAMBWA

WAZAZI WAKE KARDINALI WA KWANZA MWAFRIKA WALIZIKWA HAPA. KULIA NI BABA YAKE DOMITIAN RUSHUBIRWA NA KUSHOTO NI MAMA YAKE ASTERIA MUKABOSHEZI

NYUMBA YAKE ALIYOJENGA MAHALI ALIPOZALIWA,KIJIJINI KWAKE, BUKONGO, KAMACHUMU KAGERA

HAPA NDIPO ALIPOWEKWA WAKFU KUWA ASKOFU WA LILILOKUWA JIMBO LA RUTABO MWAKA 1952. ALIKUWA ASKOFU WA TATU AFRIKA AKITANGULIWA NA JOSEPH KIWANUKA WA UGANDA NA RAMASORANDI WA MADAGASCAR.

NA HUYU NDIYE YEYE MWENYEWE, LAUREAN RUGAMBWA. MAANA YA RUGAMBWA NI MTU MAARUFU.

No comments:

Post a Comment