Wednesday, March 07, 2012

Diwani Danny avuka kiunzi


Maswali yaliyojitokeza wakati Danny Mutagahywa anagombea udiwani katika Kata ya Kamachumu, Kagera, kuwa "angefanyaje kazi yake ya udiwani bila msaidizi", sasa yamepata majibu. Pichani, diwani huyo akiwa na mkwe, Lydia, mara baada ya kufunga ndoa yao katika Kanisa Katoliki la Rutabo hivi karibuni. (picha zaidi kwenye Album, kulia))

No comments:

Post a Comment