Wednesday, July 27, 2011

Mwakiteleko Azikwa

Mwili wa Marehemu Danny Mwakiteleko ukiingizikwa kwenye nyumba ya milele katika makaburi ya Masebe 1, kijijini Ndala, Kata ya Kandete, Tarafa ya Busokelo wilayani Rungwe Mkoani Mbeya. (Picha na Father Kidevu)

No comments:

Post a Comment