Sunday, April 03, 2011

Mnyororo wa Loliondo kwa Babu


Binti aliyetambulika kwa jina Buke Nyamangwa kutoka Musoma ambaye ni mgonjwa wa akili akiwa amefungwa mnyororo miguuni na baba yake kisha kufungwa kwenye mti kwa siku saba wakati wakisubiri foleni ya kupata kikombea cha Babu wa Loliondo. Baada ya kunywa dawa hiyo binti huyo alipona na kuachama mnyororo ambao amekuwa akifungwa kwa miaka mitatu. (Picha na Majira)

No comments:

Post a Comment