Wapya ndani ya Sekretarieti CCM
Wanachama wa CCM walichaguliwa kuunda secrtarieti mpya kutoka kushoto ni Mweka Hazina mpya wa CCM, Mwigulu Lameck Nchemba; Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Moses Nnauye; Katibu Organaizesheni, Bi. Asha Abdullah Juma; Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar) Vuai Ali Vuai na January Makamba (Uhusiano Kimataifa). Pia wamo John Chiligati, Naibu Katibu Mkuu (Bara) na Katibu Mkuu, Wilson Mukama ambao hawako pichani. Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment