Monday, February 28, 2011

Viongozi Chadema wazuru kwa Nyerere

Mtoto wa tatu wa Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Magige Kambarage, akitoa nasaha zake kwa viongozi na wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), walipozulu katika kaburi la baba yake Butima jana.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe (kushoto), na Katibu Mkuu wake, Dk. Willibrod Slaa, wakibadilishana mawazo na mtoto wa tano wa Mwalimu Julius Nyerere, Makongoro Nyerere, wakati viongozi hao na wabunge wa chama hicho walipomtembelea Mama Maria Nyerere, nyumbani kwake Butiama jana.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akitoa salamu za chama hicho kwa Familia ya Mwalimu Nyerere, wakati vongozi mbali mbali na wabunge wa chama hicho, walipomtembela Mama Maria Nyerere (katikati) nyumbani kwake Butiama jana. Kulia ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Wilibrod Slaa.
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiweka shada la maua katika kaburi la Mwalimu Julius Nyerere
Hapa wageni ambao ni viongozi wa Chadema na wenyeji wa familia ya Nyerere wakimwombea mwasisi huyo wa taifa.

1 comment:

Anonymous said...

Mbowe anamuiga Kifimbo kwa kifimbo.

Post a Comment