Monday, January 03, 2011

Majaliwa ya 2011

Picha hii nimeidaka kwenye mitandao. Nilipoiona nilipata maswali mchanganyiko, hii ni habari ya kweli au la, ni bahati au balaa, ukijaliwa watoto hao utafurahia au utakasirika? Kila mtu ana majibu yake.

1 comment:

emu-three said...

Haka ni ka mchezo ka kimitandao tu, watu wamebadika picha ndani ya picha, sidhani kuwa ni kweli

Post a Comment