Thursday, October 07, 2010

Leticia ulale pema peponi

Mwili wa mwanahabari Leticia Kaijage ukiwa tayari kwa maombi na kuagwa jana kabla ya safari kwenda kijijini kwao Nyakigando, Kata ya Kaibanja Wilaya ya Bukoba Vijijni kwa mazishi. Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina lake libarikiwe. Apumzike kwa amani. Amen

No comments:

Post a Comment